Happy Birthday bestito Mtambuzi mwaaaaaaaaaaaa

Happy Birthday bestito Mtambuzi mwaaaaaaaaaaaa

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Goodday

Siku usiyozani leo imetimia tulikuwa tunahesabu kama siku hii muhimu
Wakati ukisonga na miezi kuandama na mwanga kutokea

Leo ni siku mihumi ambayo utashaaa kuona kwani tunakumbuka miaka
milongo tandatu iliyopita katoto kachanga Mtambuzi kutokea duniani

Nami bila ajizi namtakie afya njema na furaha tele mpenzi wangu wa moyo Mtambuzi a.k.a BABA NGINA Mungu ampe furaha katika maisha yake yote

Wale wenye vijiba vya roho washindwe na walegeee wakakimbile baharini

Basi wapendwa wangu marafiki zake na Mtambuzi mtakieni heri kwa siku
yake muhimu hii

hapa hasipaone my ex................ Mentor maana patachimbika bure
na kuzua tafrani kama sio mzozo wanguvu hahahahahaaaaaaaaa mwaaa

Nimemuandalia ua ridi kuonyesha upendo wangu kwako na furaha tele
kwa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake mtambuzi

Happy Birthdady my love Mtambuzi


tumblr_nmj24e6cZU1tqn457o1_1280.jpg


cc: sosoliso, Mentor, Paloma, Heaven on Earth, charminglady, Passion Lady, Lady doctor, mshana jr, Kaizer, Asprin, KakaKiiza, Ben Mugashe, mwallu, Valentina na marafiki wengine ambao nimewasahau majina yao

karibu mumuwish kipenzi chenu mtambuzi

Ciao

Ladyf
 
Last edited by a moderator:
Younger than yesterday older than tomorrow Happy Birthday Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom