ZEE LA UONGO
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,313
- 3,958
njooo Pm kwanzaaa mtoto mzuriii 😊😊😊Lakini wewe ni nani na hii id yako ya mchongo?
njooo Pm kwanzaaa mtoto mzuriii 😊😊😊Lakini wewe ni nani na hii id yako ya mchongo?
Sawa kipenzi nimefurahi, nitamcheck Tonnia anipe habari nzuri 😘😘😘 NakupendaNipo Odo ukiona sipatikani patikani unamuuliza Antonnia akupe habari nzuri kunihusu.
Nmekumic pia.
😍😍😍
Sawa Odo, nakupenda zaid🥰😍😍😍❤️❤️❤️❤️Sawa kipenzi nimefurahi, nitamcheck Tonnia anipe habari nzuri 😘😘😘 Nakupenda
😅😅😅😅... namsubiria pm nimuulize shangazi yangu kipenziiiNaweee mwambie aniulize mimi wewe ninani mjombaaaa😂😂😂😁!!
Tuko poa kabisa ccy😍😍😍Wabheja sana kunipa go ahead sis akee ntamjuzaa!!
I hope wote mnaendelea vizuri kipenzi!! Wasalimie sana malaika wanguu!!
Shweeeeeeendwaaaaaaanjooo Pm kwanzaaa mtoto mzuriii 😊😊😊
Thank you Da'Vinci rafiki yangu wa zamani. Hivi urafiki wetu ulikufa eeh?Happy belated birthday Mkuu🌹🌹🌹
acha basi njooo PM kweli tena.. 🤗🤗🤗Shweeeeeeendwaaaaaaa
Pepo la PM trokaaaa kwa jina la Yesu.acha basi njooo PM kweli tena.. 🤗🤗🤗
😂😂😂😂😂NanananalaaaaaaaahAshendwee Kwajena la yesooooooooooo 🗣️😁😂 Kwa sauti mjomba NA 😁
usiwe mkalii sanaaa ... hata simba na makali yake anafungwaaa 😅😅😅Pepo la PM trokaaaa kwa jina la Yesu.
Tuma na ya kutolea.usiwe mkalii sanaaa ... hata simba na makali yake anafungwaaa 😅😅😅
Wala sijakudelete rafiki yangu. Niliona tu u kimya my friend ukanikwepa 😉Hili swali nalirudisha kwako... Ulikufa au ??
Lakini hata kwenye real life ukifika level fulani kuna rafiki zako wa utotoni unawadelete... Inawezekana ndio kilichonitokea😔