Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,687
Nilizubaa zubaa sana, kuweza kuamini hali halisi ilivyo. Unamjua yule mwezi mchanga? Chizi karogwa tenaWanaloga mchana kweupeeee Afu much know sasa!!😂😂!
Nilizubaa zubaa sana, kuweza kuamini hali halisi ilivyo. Unamjua yule mwezi mchanga? Chizi karogwa tenaWanaloga mchana kweupeeee Afu much know sasa!!😂😂!
Mwanza, mpenzi, nyuzi nyingi, 😂😂😂😂😂😂😂 code ukiiweza hii ifungua basi...Yupi huyoo😊???
mtu ana majangaaa yake . chuki ana hamishia kwingine 😅😅😅😂😂😂😁😁😁😁😁! Makasiriko nouma sana 😂
Kuna makasiriko na njaaa.. wakiambiwa wanauza bei gani.. hawasemi.. watu tuna ma upwiru ya hatarii 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂!
Pamekua pa hovyo hovyo!
Naachaje ifungua kwa mfano! 😂! Itakua huyohuyooo😁
nije tsapp wajamenii 😅😅😅Mwanza, mpenzi, nyuzi nyingi, 😂😂😂😂😂😂😂 code ukiiweza hii ifungua basi...
Chap nakujaaaaa 😊😊😊Njoo Mjombaaa njooo tukufungulie code😛😂😂😁
Washaaaaa dataaa 😊😊😊Watruu Wamevurugwa vibaya sana mjomba!!😁!
Sema nene acha inyeshe ....!
🤗... nimeonaaaTayareee mjombaa!!
Nimekumiss Odo ake nakuona kwa tochi Beautiful. 😍😍😍🥰🥰😍😍😍
Na mie vipeeeeNipo Odo ukiona sipatikani patikani unamuuliza Antonnia akupe habari nzuri kunihusu.
Nmekumic pia.
😍😍😍
Nasubiri majibu tsapp.. mbona napitwaaa 😅😅😅Nimekumiss Odo ake nakuona kwa tochi Beautiful. 😍😍😍
Lakini wewe ni nani na hii id yako ya mchongo?Na mie vipeeee