Okay. Okay.Eendiwoooooooo mkuu mamaa laoo mwenyewe anakamatia hio nafasi!!
Hio pipi itabidi anipe mie mkubwa yee mtoto ataoza meno 😊!!Happy birthday to you 🎂🍭🍫 Bantu Lady
Hakika. Ila huyu anaweza kumpa Yule in.i maana...Itapendeza sana! Usipomuona Aaliyahh mpe hata mzee wa hall 5 Kapachino ataifikishaas tu!!