Hata ubaba hajafikia, ni mkakaMi nahisi ni mbaba ila katika uzee sidhani kama kafikia
Hee!
[emoji23][emoji23][emoji23] babe una nini lakiniBila shaka unamwaga upepo..
Msimmalizie tuu vijisenti vya uzeeni...Tena nimemsogezea nyama za kutosha
Siku hizi tunapenda wazee manake wanajua kubembeleza afu hawasumbui
Dah...tofauti kati ya mzee na kijana ni "nguvu za misuli"...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu muache mzee wetu
Yeye bado ana misuli ya kutoshaDah...tofauti kati ya mzee na kijana ni "nguvu za misuli"...[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wetu ndio kaamka sasaHebu ngoja kwanza... will be right back....
Dah....Yeye bado ana misuli ya kutosha