kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,493
- 18,387
Mweee yani suala la kupety pety huwa napata negative kabisa. Sina hicho kipaji
sio jambo la kipaji...
ni la kuamua tu!!
Mweee yani suala la kupety pety huwa napata negative kabisa. Sina hicho kipaji
Nishaamua sana ila ikabidi nipumzike tu kwanza manake nilishindwa. Ila ntaanza kuamua tena hapo baadaye kidogosio jambo la kipaji...
ni la kuamua tu!!
hebu niambie how many Men are in need of u now?
Nishaamua sana ila ikabidi nipumzike tu kwanza manake nilishindwa. Ila ntaanza kuamua tena hapo baadaye kidogo
Aaah kumbe eehhuu ndiyo muda muafaka sasa, kwa mtu sahihi kabisa.
karibu heaven....
Aaah kumbe eeh
oh!! naona kama vile hujanielewa, ukikosa zangu usitegemee watoto/mtoto ndoani mwako.
Mmmh babu unaniruhusu kabisaaaa
Ataachaje wakati anajua kuwa wewe ni mdau wa ile dhana ya Mkuu wa Kaya ya "Mbayu wayu"?
Babu anawapenda wajukuu zake na hataki wapate BP wakiwa bado wadogo sana...walau nao siku moja waifikie pensheni kama yeye!
Sasa mbona tayari tunao wawili na mwingine on the way?