Happy Birthday Arushaone!!

Happy Birthday Arushaone!!

Since when? Mbona hukunipa taarifa?
Aah si unanijua ndugu yako, kuna siku naamka single, nashinda plural afu naweza kulala single tena. ndo Nikasema nisitoe tu taarifa kwanza
 
Aah si unanijua ndugu yako, kuna siku naamka single, nashinda plural afu naweza kulala single tena. ndo Nikasema nisitoe tu taarifa kwanza

Duuuuh! Basi sawaaaa! Ila bora ulisema uko plural maana kwenye double haumo kabisaaaa namba zako zinaanziaga 4 kuendelea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom