Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,306
- 25,928
Tarehe kama ya leo,Jumanne ya tarehe 16 mwezi Februari mwaka 1982 nilizaliwa.
Nikitimiza miaka 35 leo,namshukuru Mungu kwa yote ninayoyapata,kuyasikia na kuyaona. Nawashukuru,ingawa wote ni marehemu,wazazi wangu.
Pia,nawakubali ndugu,jamaa na marafiki wote. Nawahakikishia wote,tupo pamoja!