Heeh! Yaani besdei gelo napiga miayo huku nyie mnaniwakilisha kwenye biriani?! Duh, dunia duara!
happy birthady king'asti
mmmh, akyanani kumng'oa huyu baba maneno hadi kaja hapa, kweli hata robot ina moyo lol
Be warned: ntakudunda kuniharibia.
Happy birthday king'ast wetu. Zima mishumaa mara 200 tena then ufe. By the way kwanini hukutoa taarifa mapema nikuvishe pampas au nepi? Shame on you. Karibu arusha baby. Yangu 22.08.2012.
Happy birthday.
happy Birthday bibiye,what a way to get to know it lol!you still get "spanks"?
nimekupigia simu uje kumbe namba yenyewe ulonipa ni namba ya uanachama wa PPF. . . . Unaona sasa umekosa kitu cha mpunga.
Happy Birthday King'asti..