figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,197
- 64,639
Twafahamiana sana. miayaelekea unamfahamu mkuu huyu kiongozi wa mji usio na bahari
PamojaAisee sisi ni mapacha. Karibu sana mkuu. mia
Twafahamiana sana. mia
Sawa tu. Hamna tatizo kabisa. miaoky ni vyema kufahamiana kwani ndiko kunajenga umoja na undugu waonaje next week jmosi ile safari tuianzishe?
Pole yake jamani. miaAnaumwa homa lakini sio homa ya dengua ni homa ya kawaida ya kutaka kudeka
Pole yake jamani. mia
nilitaka niwe wa mwisho kukutakia happy bday ila uzi bdo unakesha tuu kama cnn
happy day mkuu
Nimeona niuendeleze huu uzi mpaka majogoo bestito
Hapo tuu ndo napokuaminia
Bora punda afe mzigo ufike salama
Mzima mamito...
umerudi lini tena bestito hatuambiani vibaya hivyo?
kesho uwepo wako wahitajika ni birthday yangu mkuu
halafu mwambie figganigga kuwa awepo yeye ndo
atakuwa mc wa function hiyo
Love you. miaNilitaka niwe wa mwisho kukutakia happy bday ila Uzi bdo unakesha tuu kama CNN
Happy day mkuu
Duh! heshima yako mkuu. siku nyingi sana hatujawasiliana. Hujambo wewe? Asante sana. miaHappy birthday figganigga and bily,Mungu awalinde na awape wingi wa siku za kuishi zenye fanaka tele
tutaeleweshana baadae love.....
Duh! heshima yako mkuu. siku nyingi sana hatujawasiliana. Hujambo wewe? Asante sana. mia
Angalia kwanza bana. Mbona Pm imekuja!?. ingia uangalie. Siwezi weka hapa coz sio wote watakao. Mis
nasubiri kueleweshwa mpenzi
Anaumwa homa lakini sio homa ya dengua ni homa ya kawaida ya kutaka kudeka