Hapo nimesalute mwenzangu, kwanza huyo ana stress na hasira na hii jinsia akinikamata si nitaokotwa muhimbili!!
Jamani atoto mbona sina bifu na nyie aisee...mi napenda tu uwazi siku hizi...unataka nini na mimi nataka nini! maisha ni very simple kuliko kudanganyana don't you think mamii!???
Katika habari nyingine: kam zis wei tuongelee 'ishu' flani hivi niliona ukiidiskasi mahali!
best sawa tuu japo yy anasema hana bifu na hii jinsia nataka ale na yye utamu ila ndo anaogopeka ....fanya uchunguzi uniletee aliyemuumiza huyu kijana
happy birthday to uuuuuuuuu toooo nimepatia hii english?
Siku hizi nimeacha kusherekea birthday yangu, naipita kama nimesahau, si unajua mtoto wa kike mwisho kusherehekea ni 23 years baada ya hapo unajikausha afu unagandisha miaka...
yani dizaini unaanza kutumia kalenda za kiethiopia...
ha ha ha...
kumbe wewe ni mkorofi hivi?
asante sana uko wapi siku hizi?sikuoni
Aya kaka thanks very much
ha ha ha kila ukiulizwa how old are you unasema 22 ?LMAOSiku hizi nimeacha kusherekea birthday yangu, naipita kama nimesahau, si unajua mtoto wa kike mwisho kusherehekea ni 23 years baada ya hapo unajikausha afu unagandisha miaka...
yani dizaini unaanza kutumia kalenda za kiethiopia...
ha ha ha kila ukiulizwa how old are you unasema 22 ?LMAO