Happy bday my mwekundu

unataka tukufahamu mbona kazi ndogo tuma picha yako na mali unazomiliki hapo utakuwa free kuwaona wengine na kuwafahamu

Hahaaaaa!! Hapo pa mali nimepapenda.
 
Last edited by a moderator:
Stoo kabisa? ngachoka kabisa..... Ila dawa yako iko jikoni ila haichemki bado.

ha ha umechoka kabla ya kunipa dawa bhasi tena ......hiyo dawa itakuwa ya kichina kama ipo jikoni ila haichemki tafuta kitu orijino cha mjeruman
 
nakuaminia naona atoto anasema wewe huwezi mim nasema fnya kweli ne nyt stand kama laliga sio mechi za kombe la mbuzi heshima iwepo

Anaruka ruka tu ila ndo ivo kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwakw😀
 
Last edited by a moderator:
Heri ya maadhimisho ya kuzaliwa kwako mwekundu

Ujumbe: Kubali mabadiliko na kataa utumwa ndani ya nchi yako
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha.......wewe unayo nguvu bana.......achana na wale kule longolongo mingi tu...........
atoto ana wivu balaa yaani apa ananikinga na maadui zake akiamini hawathubutu kunigusa tena....hahahhahahaa
 
Last edited by a moderator:

Nimekosa mwaliko aisee...
Happy birthday mwekundu...
ndoa yako na ICHANA mliifunga wapi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…