BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 959
mwe..... ngoja niweke alarm kbs nikuwah io alhamic teh.Happy bday baby.yangu alhamisi
Napenda kujitakia siku njema ya kuzaliwa, nawashukuru wazazi wangu kupendana na kunizaa mtoto bomba kama mimi,
namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa pumzi mpaka sasa, nashukuru family yangu kwa support, now, another year older,
and more wiser, and as well im living my dream
nawapenda woooote
ujumbe zaburi 118