Happy B'day for me Blackberry

Happy B'day for me Blackberry

thanks friends Mungu awajalie na nawatakia kila la heri katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka
 
hahaaa upo nasikia ulikuwa na mhanga wa mafuriko ni kweli? vipi Birthday ilikwendaje?
hahahhaha nina helcopter na maboti ya kutosha manyanza kwanza kwa hasira leo sijarudi home nimelala kepisky kabisaaaaa asubuhi nashuka tu naenda ofisini hahahahahaha.....jana umeniudhi
 
jamani hukunishitua kama una Birtday, yaani jana nilikuwa site polini huko tulikuwa tunafunga hiyo network yaani tulipomaliza tu nikaingia JF nikakuta PM yako, vipi lakini uli enjoy?
 
10_happy-birthday.jpg
 
happy bday BB Mungu akujalie uishi maisha marefu sana zaidi ya uliyoishi tayari........nakupenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom