Anthony Threedeyea
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 471
- 48
Hahahaha leo povu litakutoka na birthday utaiona chungu haha eti ninafungua media company na partner wangu Davis mosha na wakati ur share ni 0.03% hahaha babu jonga jamani
Una uthibitisho upi kama huyu ni Ex wako?
Sidhani pamoja na tofauti zenu kama ni busara kumuingiza kwenye kila bifu la mtandaoni kwamba yeye anahusika.
Bond ya watoto mliyonayo ni kubwa sana she will never be out of ur life nakuhakikishia malizeni mambo yenu kiutu uzima huo ndio uanaume.
- Mkuu jina langu ni WILLIAM JOHN SAMWEL MALECELA NAMBA YANGU YA SIMU NI 0717 618 997 EMAIL YANGU NI willymalec@gmail.com
- Now kama wewe upo hapa kama mimi weka ya kwako tuone hapa, kama huwezi nyamaza wewe mjinga!1
Le Mutuz
Nilishaingia hapa. A cozy place. Jamaa anacheza na akili zenu tu kisha anapiga hela bia jasho. Shauri yenu
matusi ya nini sasa babu, twende mdogo mdogo, jina langu hilo hapo kwenye ID, na kuhusu email ukiona mtu ni member humu ujue anayo yake, so sio kitu kigeni, omba lingine babu
Mr Gentleman huyu babu lemutuz watoto wake wanasomeshwa na mama yao pamoja na msaada kutoka serikali ya USA sababu wanaonekana ni watu masikini au wasio na uwezo ndio maana serikali inawasaidia na kuwasomesha, yeye huyu babu alikimbia majukumu yake na hapo amerika yeye ni wanted akiingia tu ndani ndio maana haendi tena sababu kisheria ukikimbia kulipa child support ni jela miaka mingi hadi utakapolipa na hapo bado ana deni wanasuniri kumkata kwenye pension port yake, mtoto wake wa kwanza Agapeo yuko college na yule mdogo Leona anaanza college next year, walikuja hapa bongo juzi juzi lakini hawakuwa hata na mpango na huyu babu hadi machozi yakamtoka aliishia kuwaona kwa nje tu, yule Leona aliishia kumwambia get off me ur not my dad haha watoto walikataa hata kumuona babu yao sea view.

H.B.D AKILI KUBWA
MUNGU akupe Maisha marefu.
- Mkuu weka jina lako na namba yako kama mimi huwezi tulia hahahahaha wewe unafikiri mimi nina akili ndogo kama zako hahahahahahahaha
Le Mutuz
sasa ni-expose namba zangu kwa ajili yako? Umetaka jina nimekwambia hilo hapo juu, omba lingine lakini sio contact zangu, mimi sina akili kama zako babu
- Watoto wanasoma kwa pesa nilizokuwa ninakatwa kwenye mshahara wangu kwa miaka 25 niliyokuwa ninaifanyia kazi kampuni moja tu, Sheria ya US inasema hivyo. Makaratasi ya divorce uliyopeleka Ubalozi ya USA tulikubaliana malipo ya nkila mwezi nikayasaiini yakarudishwa Serikali ndio maana watoto wangu wanapewa hela zangu na Serikali ya USA au uantaka nielete copy hapa uaibike zaidi hahahahaha
- Wewe mwenyewe na mwanasheria wako mlikubaliana kwamba huku bongo hamna pesa so ninatakiwa kulipa hela ndogo kutokana na mazingira ya bongo bila hivyo Serikali isingetoa pesa zangu walizokuwa wanazikata kwenye mashara wangu, kuja USA nikitaka nakuja anytime sina sababu ya kuja huko nipo busy hapa bongo natengeneza pesa, pole sana ila unalo ndio mkome kuchezea wanaume sio kila mwanaume ni muoga hahahahahahahaha
Le Mutuz
- hahahahaha ok walikataa kumuona bongo halafu majuzi alipokuwa huko wakamfuata kulia shida na wewe una pesa sana vipi wewe mama unajiabisha hapa
Le Mutuz
- kijana mdogo mimi sio size yako tafuta wajinga wenzako
Le Mutuz