case mtanga
Senior Member
- Nov 14, 2013
- 101
- 92
- hahaha kuliko za kwako? hahaha! - le Mutuz
Miaka 58? mbona akili zake ndogo sana, kweli nimeamini
Leo hujasubiria zifike page 10 le super celebrity. Msalimia baby msomaliz u know, happy birthday king
case mtanga inamaana le mutuz ana watoto wakubwa wapo college?
Kama wapo wanasomeshwa na nani?
Na wanamchukuliaje baba yao ukizingatia picha zake na image yake kwa jamii wanavyo mchukulia?
Kuna msaada wowote wanaopata kutoka kwa baba yao?
Samahani kama nimeuliza vitu personal sana.
kama hilo jina unaloliona hapo ni bandia basi sawa ila bado najiuliza ni nini haswa kinachokuchekesha babu
Happy birthday to you bigie...older than yesterday younger than tomorrow...! Enjoy every single moment God has granted to you
Huu uzi na Ufutwe, mode mmelala?