Nilienda kusikiliza kama watapunguza kodi ya PAYE ...but sincerely am done na haya makitu ya RAAWU
..thanks nimepata kijiposho Cha kuwekea heshima baa
Babu, hebu nitakie salamu zangu za kuzaliwa? Za kwako zina maana sana ili zifike kwa mlengwa.
Siku wakishusha PAYE ikawa walau 10% nitajiunga kwaq hiari.
Afu wamakata PAYE hadi bonus?!! Hapo ndio huwa nachoka kabisa.
Mi nilishawahi kukataa kujiunga na juwata gani sijui. Yaani nikiangalia hela ya kukata ndefu, nikawaambia nikiwa na issue nitajibeba. Hawakuamini wale wazee lol.
mambo ya kuteteana unafki mtupu. Nikilianzisha nalimaliza mwenyewe
Happy birthday Kongosho.....a.k.a konie!!
Mwambie Zombie atimize wajibu wake wa kukupa bonge ya sado!!
Zombie alichukua nafasi ya washindani wengine na kwa hiyo aitendee haki!! Kama akishindwa twambie ili tuamue kuchukua hatua kama ile ambayo Sir Ferguson alitamani kuichukua!!
Hatasimkumbuki, wee umepata?
Sasa salamu zimekamilika. Leo anapumzika, ni kichanga.
hiki tunachopimia vitunguu?
Siku wakishusha PAYE ikawa walau 10% nitajiunga kwaq hiari.
Afu wamakata PAYE hadi bonus?!! Hapo ndio huwa nachoka kabisa.
Ndiyo hicho ila sijaonge katika mkutadha huo....
Hata hivyo, hii inaweza kudhihirisha kuwa wewe si mwenzetu....
Labda wakongwe wanaweza kukusaidia maana ya kupewa sado..
Cc: Asprin, Fixed Point...!
Ndiyo hicho ila sijaonge katika mkutadha huo....
Hata hivyo, hii inaweza kudhihirisha kuwa wewe si mwenzetu....
Labda wakongwe wanaweza kukusaidia maana ya kupewa sado..
Cc: Asprin, Fixed Point...!
Juwata? Duh, Shkamoo!
Kudaadeki umeua, hukubali kushindwa tu aya bana the Iron Lady.Time is money! NILICHOANDIKA NIMEANDIKA-PONSIO PILATO!