Happpy Birthday...

Mpe hongeta dogo, hapa kuna pacha wake anamtakia maisha mareeefu sana.

Leo birhday ya dogo kanatimiza six years.
Proudly dada ngoja niamke nikamkaangie kuku na mbuzi.
 
He he he, nqcheka kama mazuri, kukatwa 1% ya mshahara lazima.uwe na.khasira? kwa mwaka ni sh ngapi.vile.unawachangia?

Hahaaaaaaa! Ilw ada wanayonikataga inaniuma balaaaaaaa! Adu kwenye hearing zanhu sioni wnachonitwtwa sazingine wanakuwa upande wa kampuni ! Siwezi kwwnda anadaman wakati wanaoki
A hela ya TUICO wamwjipumzisha! Nina hasira naoooooooo!
 
Ndo maana sikuwahi kujiunga na hivyo vyama hadi naacha kazi
Kongosho na amu wapeni hongera wanaoadhimisha kuzaliwa
 
Last edited by a moderator:
He he he, nqcheka kama mazuri, kukatwa 1% ya mshahara lazima.uwe na.khasira? kwa mwaka ni sh ngapi.vile.unawachangia?
Swala ni kuwa as long as nawachangia hata kidogo kiasi gani, i should be ONE OF THEM! Waniteteeee kijalali, sasa 1% wamekula afu kwenye hearing wananiletea nyokolosti zao!
 
Tuico ni chama cha porojo na kula posho..ukiwa na shida msikilize your lawyer first na Tuico usiwaeleze the truth...use them..but dont trust them
 
Umeonaaaaa! Eti TUICO ndo inakushauri usiende mahakamani, resign tu uchukue vijisenti utavopangiwa!!! REALLY.?

Tuico ilikuwa zamani, watu wananyanyaswa kwa wahindi wala Tuivo hawajigusi kutumia haki yao kisheria kuandikisha wanachama wapya! Chama linadoroa daily! Wananikera waleeeeee! Ungekuwa uwezo wangu tuico ya ofisini ningewawekea sumu wote kwa kuharibu maisha ya watu dhaifu wana waamini!
 
Hahaaaaaaa! Ilw ada wanayonikataga inaniuma balaaaaaaa! Adu kwenye hearing zanhu sioni wnachonitwtwa sazingine wanakuwa upande wa kampuni ! Siwezi kwwnda anadaman wakati wanaoki
A hela ya TUICO wamwjipumzisha! Nina hasira naoooooooo!
Lara moja unaharaka gani bi dada hebu rejea andiko lako!
Anyway Kongosho kama leo ni besidei yako basi hepi besidei hukuhuko zikufikie.
 
Sivaagi zile tshirt aisee. Enzi natumikia mwajiri sikuwahi kuandamana na mshua ndo anavaa tshirt akienda kupiga michapo na wazee wenzie. Yaani sikuwahi hata kufuata posho!
Na wewe unakuja, nna tisheti ya papo.
 
Acha kulia lia kusanya watu watano tu bass
 
Mi nilishawahi kukataa kujiunga na juwata gani sijui. Yaani nikiangalia hela ya kukata ndefu, nikawaambia nikiwa na issue nitajibeba. Hawakuamini wale wazee lol.

mambo ya kuteteana unafki mtupu. Nikilianzisha nalimaliza mwenyewe
Hahaaaaaaa! Ilw ada wanayonikataga inaniuma balaaaaaaa! Adu kwenye hearing zanhu sioni wnachonitwtwa sazingine wanakuwa upande wa kampuni ! Siwezi kwwnda anadaman wakati wanaoki
A hela ya TUICO wamwjipumzisha! Nina hasira naoooooooo!
 
Sivaagi zile tshirt aisee. Enzi natumikia mwajiri sikuwahi kuandamana na mshua ndo anavaa tshirt akienda kupiga michapo na wazee wenzie. Yaani sikuwahi hata kufuata posho!

Umenikumbusha enzi hizo walikuwa wanagawa mpk vitenge sina hata mtu wa kumpa nampelekea mamangu anacheka tu akiyaona mavitenge ya mei mosi, sijui bado wanaendelea kugawa maana nilishakimbia ofisi yenyewe!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…