Happi basidei madiba.

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
36,509
Reaction score
45,120
Wadada na Wamama wa kibongo,

Ingeni mfano wa wazee wetu - Upendo huu ni wa kufa na kuzikana, hapa mama winnie hana kinyongo kaenda kumpa Congra. Mzee mwezake na mume wake wa kwanza Nelson, ili hali Craca yupo pale pale. Jamani nyie wamama wa kibongo mngeweza?

Wivu, Kinyongo pembeni - Congra. Winnie. Mfano wa kuigwa.





Winnie looks like so young - ni vigumu kuamini.
 
Namfurahia sana huyu Mzee Nelson. Mungu azidi kumlinda na kutupa sisi kujifunza kupitia kwake.
 
Ni kweli.

Kuna watu wameumbwa na wanatenda mambo ili sisi wengine tujifunze kutokana na wao wanavyotenda.
 
Happy birthday zangu nilimpa rais wetu azipeleke huko kwa tata madiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…