Kijana chunga sana kinywa chako kwani uzima na mauti viko chini ya mungu aliyeziumba mbingu na nchi ; siyo ccm.mfano mzuri celina kombani alikuwa na afya yake leo yuko Wapi??hakuna aliye nauhakika juu ya uzima wake anaejua ni mungu tuu.Swali la maingi sana hili. Anadhani wote humu huwa tunajinyea
Hii nayo sifa ya UKAWA.kwenye jukwaa hawawezi kusema.sasa wanazomea.wanataka kuchochea mapambano ili wailaumu SEREKALI
Kitendo tu cha kuzomea ni dalili tosha ya ukosefu wa ustaarabu wa msingi! Jamani hili kundi lenye watu wa aina hii linatakiwa lifanyiwe uchunguzi wa vinasaba kuhakikisha uasilia wao maana hii siyo Asili ya watanzania na wala siyo Asili ya binadamu walio wastaarabu na wanaoelewa kuwa siasa ni siasa tu lakini kuna heshima ya utu na utaifa. Mimi nashangaa kabisa tutapata watawala gani ngazi zote za jamii watakaotokana na watu wenye hulka hii? Dawa yao piga chini tu 25 oct waende jandoni kwanza wakajifunze heshima. Mwanaume heshima bwana
Swali la maingi sana hili. Anadhani wote humu huwa tunajinyea
Lizabon ni HE or SHE?
Lizabon ni HE or SHE?
Gari lililokuwa limebeba watu waliovalia nguo za njano na kijani (sio yanga) zao zikiwa na nembo ya jembe na nyundo wamekumbana na dhoruba ya zomeazomea mtaa wa kongo na uhuru dsm. Tukio lilodumu kama hadi gari lilipoondoka.
Hakika. Fisadi siku ya uchaguzi atajiharishia sana
ni yule kijana anayeguta viatu vya ridhiwani aliyrmpiga jaji warioba wanavyosema hapa JFLizabon ni HE or SHE?
Swali la maingi sana hili. Anadhani wote humu huwa tunajinyea
3weeks Remain,all This Will End....
Swali la maingi sana hili. Anadhani wote humu huwa tunajinyea
Lugha inayotoka mdomoni mwa mtu hudhihirisha ustaarabu wake na utu wake!!Swali la maingi sana hili. Anadhani wote humu huwa tunajinyea
Huo sio ustaarabuGari lililokuwa limebeba watu waliovalia nguo za njano na kijani (sio yanga) zao zikiwa na nembo ya jembe na nyundo wamekumbana na dhoruba ya zomeazomea mtaa wa kongo na uhuru dsm. Tukio lilodumu kama hadi gari lilipoondoka.