Mmeamua kuwaharasse watu mnaotofautiana nao kiitikadi kwa matendo yote mabaya lakini hiyo haitawasaidia ..mwaka huu mmekwisha na hiyo inachochea hasira za ndani, tutawapiga 90%
Hiyo kajinyea na kichaa mbona km unamtukana boss wako? Ooo angalia dogo ujue unasema kinyumenyume...shuuzi
Lizabon ni HE or SHE?
Naona umejisaidia dogo alafu hujacha. ...mbaMuda huo kijana angali leo kariakoo palikwa hakuna shamra shamra zozote zile za kisiasa wacha kupotosha umma kijana punguzeni kupaniki ukawa
Wawekwe ndani waliozomea
Asante Sana Mkuu Kwa Kurealize Something Important.Watu Wanakesha Kkoo,halafu Kuna Mtu Anasimama Jukwaani Anasema Serikali Haijafanya Chochote,jamani Hata Hii Amani Inayofanya Watu Wanakesha,wauza Kahawa Usiku Mzima Wanakesha Nalo Hili Hawalioni??
huo ni umaskini wa hoja maana tatizo sio kuwazomea wafuas wa ccm kwani sisi adui yetu mkubwa ni ujinga,maradhi na umaskini sio ccm wala ukawa kwa hiyo kama na wewe ulikuwa miongoni mwao basi na wew ni mjinga pia
mimi nitamchagua muadilifu haijalishi anatoka chama gani naye ni Dkt Magufuli
Mtaa wa Kongo muda huu?
Lakini waacheni tu waendelee kuzomea ili wenye busara waendelee kujichuja na kuhamia kwenye kundi la wastaarabu.
kwa kosa gani?
Happening Now, Mwigulu azomewa sana baada ya kuwaita wafuasi wa CDM 'Manyumbu' hapa karatu, kilichotokea hatakisahau katika maisha yake, Ilibidi aondoke na chopa yake,,,,.... Baada ya kuwaita wananchi manyumbu watu tuliamua kuondoka huku tukionyesha Ishara ya mabadiliko...
Note; hapa ndipo kwa Dr Slaa lakini alipuuzwa sana baada ya kununulika..
Na mtakoma sana baada ya uchaguzi. Bahati nzuri wafuasi wa CCM ni wastaarabu sana. Wanawaangalia tu mnavyopiga mayowe