hapo zamani ukila kwa watu ni soo ila siku hizi mitoto uswahilini ni balaa tupu
hapo zamani tulikua tunasalimia pasipo na lengo lolote ilikua ni kwa heshima tu.. siku hizi toto likikusalimia inakua hivii
toto; shkamooo
mtu mzima; marahabaa.. hujambo
toto; naomba mia..?