Hapo ni bandari ya Kemondo Bukoba

Hapo ni bandari ya Kemondo Bukoba

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Bukoba kuna sehemu zina mandhari nzuri sana kama hapo ni bandari ya Kemondo.

Je hii mpiga picha alisimama sehemu gani?
 

Attachments

  • 1435668882855.jpg
    1435668882855.jpg
    55.1 KB · Views: 873
Kamera yangu ilishidwa kuzuum ila kwa mbele kuleeeeeee ndio ilipo bandari
Kwa hiyo acheni ubishi...ohoooo
 
Hata hiyo mandhari ambayo ndo lengo lako kutuonyesha, bado haivutii...,
 
Nikisikia neno kemondo akili yangu inahuzunika sana still inakumbuka ajali mbaya tanzania MV Bukoba.
 
Neno BANDARI lima maana gani katika lugha yako. Kiswahili fasaha dandari inamuonekano kama huu au kuzidi.

index.jpg
 
simnajua kuwa mwanza hilo li ziwa lao wanaliitaga bahari.
 
Back
Top Bottom