Hapo ndipo chumbani kwangu munasemaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapo ndipo chumbani kwangu munasemaje?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 15, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Chumbani kwangu hapo munasemaje wabongo???????????????
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nimeipenda hii.
   
 4. S

  Soki JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hayo maandishi hapo ukutani chumbani kwako hebu yatafsiri kwanza
   
 5. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Its lovely mzizi! sijui tunakaribishwa hata kwa usiku mmoja? In your absence lakini
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Maalim Mzizi, hizi ni barkah kubwa kubwa, inshaalah, nami siku moja ntafika hapo.
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 8. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  You are a green pioneer.
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu Soki hayo maandishi maaan yake ni hivi kwa lugha ya kiswahili (KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU) Shetani hawezi kuingia nyumbani pangu ninapoishi ukiweka hayo maandishi shetani hawezi kupasogelea hapo karibu na hicho kitanda changu.

  bibie kuberwa karibu unakaribishwa utakula kila kitu matunda ya kila aina Bia hakuna wala junk food hakuna utakunywa juice za orignal sio feki karibu unakaribishwa.

  Mkuu Mbuzi Mzee Unakaribishwa kwa mikono miwili karibu ukaribie kaka.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ambitious mkuu hiyo Rangi ya kijani ndio ninayoipenda mimi ni rangi ya amani sio Rangi ya matatizo karibu unakaribishwa mkuu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. S

  Soki JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mbona wengine wanayo hayo maandishi lakini mashetani kwa sana?
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 13. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ningekuwa na chumba chako lazima nengechelewa kibaruani siku za kwanza..stupendously comfy room!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  kwa sababu hawana

  imani nao hayataweza kuwasaidia hayo maandishi ikiwa huna imani nayo mimi nina imani na hayo maandishi nina imani na

  Quran na biblia pia nina imani nayo zote zinanisaidia na hakuna kitu kitachoweza kunishinda mkuu Soki nina silaha kuu mbili

  Biblia na Quran siogopi kitu ila nina muogopa Mwenyeezi Mungu tu ndio ninayemuweka mbele kwa kila kitu naye ndie ni mlinzi wangu mkuu.
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Usijali mkuu Ambitious Mungu atakupa inshallah
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 19. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
Loading...