Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Chumbani kwangu hapo munasemaje wabongo???????????????
![]()
Chumbani kwangu hapo munasemaje wabongo???????????????
Mkuu Soki hayo maandishi maaan yake ni hivi kwa lugha ya kiswahili (KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU) Shetani hawezi kuingia nyumbani pangu ninapoishi ukiweka hayo maandishi shetani hawezi kupasogelea hapo karibu na hicho kitanda changu.Hayo maandishi hapo ukutani chumbani kwako hebu yatafsiri kwanza
bibie kuberwa karibu unakaribishwa utakula kila kitu matunda ya kila aina Bia hakuna wala junk food hakuna utakunywa juice za orignal sio feki karibu unakaribishwa.Its lovely mzizi! sijui tunakaribishwa hata kwa usiku mmoja? In your absence lakini
Mkuu Mbuzi Mzee Unakaribishwa kwa mikono miwili karibu ukaribie kaka.Maalim Mzizi, hizi ni barkah kubwa kubwa, inshaalah, nami siku moja ntafika hapo.
Mkuu Ambitious mkuu hiyo Rangi ya kijani ndio ninayoipenda mimi ni rangi ya amani sio Rangi ya matatizo karibu unakaribishwa mkuu.
kwa sababu hawanaMbona wengine wanayo hayo maandishi lakini mashetani kwa sana?