naomba kuuliza swali?nani walikuwa wakwanza kuishi katika hii dunia?maisha katika hii dunia hayakufuata mtiririko?
cyanobacteria ndio walikuwa wa kwanza kuishi duniani, waliishi baharini na waliumbwa na Mungu, na ukitaka kujua wa kiumbe wa mwisho kuanza maisha yake hapa duniani basi ni binadamu.
Mama nataka kujua how mambo yalivyokwenda hadi tukapata this time tulipo. suala pia hapa lilikuwa na kurelate na 2nd law of thermodynamic.
pia kujua origin of death!
pls help me!
Mama, yaani maandishi uliyoweka hapo juu ni kama mimi vile nime travel kwa njia ya 'warp-drive' hadi kwenye computer yako na kutype hayo maandishi na kujirudia zangu bila ya wewe kuniona !!! Thanxhala hala jamani mti na macho, bora kuamini Mungu yupo na usipomkuta huko kuzimu hakuna utakachokuwa umepoteza, usipoamini Mungu yupo na ukamkuta sijui utamwambia nini. Si Sayansi wala dini zinazoweza kuprove kuwa Mungu hayupo ama yupo respectively, bali dalili kuwa hayupo ama yupo ndio zinatumika kujenga hoja.
Mama nataka kujua how mambo yalivyokwenda hadi tukapata this time tulipo. suala pia hapa lilikuwa na kurelate na 2nd law of thermodynamic.
pia kujua origin of death!
pls help me!
Mama, yaani maandishi uliyoweka hapo juu ni kama mimi vile nime travel kwa njia ya 'warp-drive' hadi kwenye computer yako na kutype hayo maandishi na kujirudia zangu bila ya wewe kuniona !!! Thanx
kwi kwi kwi.....excellent coincidence! umenikumbusha mume wangu anataka kudevelop aina ya software ambayo kama tukombali hiyo software inaweza kumbadilisha mmoja wetu anayetaka kwenda kwa mwenzie na kumsend mzima mzima kama vile unavyosend email!
Mama,
Mwambie mume wako apunguze kuangalia Star-Trek!
Mama,
Mwambie mume wako apunguze kuangalia Star-Trek!
http://en.wikipedia.org/wiki/Transporter_(Star_Trek)
It all depends on how you define life, some argue that there was pre single cell organism life in the form of acids like DNA and RNA more than 400 million years ago.
But if you take the standard characteristics of living things
Living things are made of cells.
Living things obtain and use energy.
Living things grow and develop.
Living things reproduce.
Living things respond to their environment.
Living things adapt to their environment.
Then single celled organism are the first to live on earth, and yes life imetiririka as you put it, although it did so with no particular direction in mind.
Which direction are you headed?
That's too advanced form of life.
Life is the ability of nucleic acids to replicate.
Ukiweka nucleic acid kwenye test tube halafu ikagawanyika yenyewe hicho ni kiumbe hai.
That's too advanced form of life.
Life is the ability of nucleic acids to replicate.
Ukiweka nucleic acid kwenye test tube halafu ikagawanyika yenyewe hicho ni kiumbe hai.
It all depends on how you define life, some argue that there was pre single cell organism life in the form of acids like DNA and RNA more than 400 million years ago.
Yes they were and they were from God
Do you believe that or do you know that?
...hivi wanasayansi weshaweza kutafsiri 'roho'/soul ni nini na ipo wapi? au hawakubaliani na hiyo 'terminology'?