Hapendi mi nizime simu usiku, ila yeye anazima! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapendi mi nizime simu usiku, ila yeye anazima!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by HUNIJUI, Oct 21, 2012.

 1. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,446
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  habari zenu mabibi na mabwana! leo nimekuja na mada hapo juu
  Unajiskiaje pale unapomsisitiza mwenz wako asizime simu wakati we unazima? kuna kitu gan nyuma ya pazia?
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Mambo mchizi........Tukushauri kichizi , Kisela au Kinyumbani?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  zima tu mchizi
   
 4. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,446
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ki JF + MMU
   
 5. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,666
  Likes Received: 2,510
  Trophy Points: 280
  Mnataka kukamatana uchawi hapo mchizi?Iwe kama amri wote mzime au ziwe wazi mchizi.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,022
  Likes Received: 5,192
  Trophy Points: 280
  mapenzi sio utumwa
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,281
  Likes Received: 7,082
  Trophy Points: 280
  Ya Ngoswe.................
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Ukiona manyoya jua ameshaliwa huyo, jiulize kisha chukua hatua.
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,220
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  Hahaha. Sasa ka yeye anazima mchizi, ww yako unaiacha hewani ili akupigie nani? Zimeni wote ila mtafute zile beeper kiulaya ulaya. Akikubuzz unawasha kama vipi unamuendea hewani, au sio mchizi wange?
   
 10. Tky

  Tky JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yupo zaidi ya wewe
   
 11. Tky

  Tky JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyo mwehu kweli, hapo hakuna mapenzi ila mnakuwa mnasindikizana ukubwani tuu kama vip we mchukulie kama anavyotaka yeye ila kinyume unamchakachua tuu coz yeye pia hufanya hivyo....... hakuna mapenzi ya kweli ckuizi ila n kuzinguana tu.
   
 12. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Duh pole sana mchizi
   
 13. k

  kichwaones JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ushaliwa mchizi wangu, kama vp .....fatilia upate ukweli wakae, nioyo tu mchizi wangu. ukiona manyoya juwa umeliwa
   
 14. k

  kichwaones JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ......................ushaliwa tayali apple lako.
   
 15. k

  kichwaones JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kapima vvu, usije ukafa bule mchizi wangu, bola kinga kuliko tiba mzee.
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 42,037
  Likes Received: 9,908
  Trophy Points: 280
  Ukiona nimefanya hivyo ujue namuona yeye mtoto. wala simthamini!
   
 17. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 4,291
  Likes Received: 1,196
  Trophy Points: 280
  Mchizi hapo bomoa buton ya kuwashia na kuzimia au sio?
   
 18. amu

  amu JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,966
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wewe fanya moyo wako unavyokutuma
  mtindo wa kunenepesha kiti wakati shetani anakonda hakuna
   
 19. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ahhhhhhhhhhhhhhhh chukua hatua mchizi!!!!!!!


  La sivyo utaumia mchizi


  Ukiona poa endelea na huo utaratibu mchizi


  u vipi mchizi....................
   
Loading...