sipati picha ya kilicho endelea.(JAMAA#1):Rafiki yangu,hivi kwanini unapenda kutembea na wanawake ambao sio wa hadhi yako?huoni kama unajidhalilisha? (JAMAA#2):Ina maana hata mkeo sio wa hadhi yangu?
si ulete joke yako ambayo sio upupuHapo unamaanisha nini sasa. Upupu.