Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 759
Muulize anaishi Tabora sehemu gani,sifa za mademu wa Tabora pale mjini ni kama zifuatazo kwa mitaa...
Mwanza-road,Chemchem,Kiloleni,Ng'ambo,kanyenye,Gongoni,Isevya,Masagala,Bomba Mzinga na Rufita...hawa wengi wao wana tabia mbaya,walevi wa pombe za kienyeji,wanaamini ushirikina zaidi ya imani za dini,wanaweza kukuloga kwasababu umewakataa,limbwata ni urithi toka kwa mama zao,ukimzalisha unageuka kuwa muhudumu wa familia na ukoo mzima,ukiwaoa unaingia kwenye hatari ya kuwa mcheza bao na kushinda kwenye kahawa siku nzima,hawapendi shule,hushirikiana na mama zao kuroga,wengi hutafuta kupewa mimba ili kujinusuru na kusoma,wana muonekano mzuri(wanavuti sanaaa) n.k
Cheyo,airport(mtaa),Majengo,national housing(mtaa),bomani(mtaa),Mwinyi(mtaa)...hawa wengi wao hujifanya mambo safi,lakini wanahongeka kati ya sh.500-5000,wanapenda uzungu,ni washirikina wa chini-chini,wanapenda mapenzi ya mbali,huwa na mabwana wengi,hawapendi kushikamana kwa muda mrefu,wengi wao hawavutii kwa uzuri wa nje n.k
NB:hizo ni sifa za wengi,wapo wachache walio tofauti na vizuri pia.