Hapanaa...hapanaaa.. hii siyo wetdream

Hapanaa...hapanaaa.. hii siyo wetdream

Mkuu umeshakuwa attacked na spirit (pepo) kwa njia ya spiritual wife. Kiroho safi, tafuta maombezi kwenye nyumba za ibada, tena kwa watu walioiva vizuri. Ukichukulia poa your life will be miserable forever.
yes, tena awahi kwa Gwajima akalitoe hilo pepo chafu.
 
Kabla ya kulala kula kitimoto, na ndizi za kukaanga halafu teremshia na serengeti baridi.
 
Back
Top Bottom