Hapana sikubali hebu vunja mbavu na wewe

Hapana sikubali hebu vunja mbavu na wewe

Mkuu kunichekesha inahitajika ujuzi kidogo... Yan kunifanya nichekee kifaa changu sio rahisi ivyo
 
Duuuh hicho ndio kichekesho chenyewe hiko ndio kitanifanya Mimi nicheke? Kwa hilo umenoa
 
Utakuwa huwajui walevi vizuri wewe

Wapo waliojitambulisha ni wakuu wa kituo mbele ya mkuu wa kituo mwenyeweeee.
 
Back
Top Bottom