Super Handsome JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 3,844 Reaction score 6,470 Nov 22, 2016 #1 Baada ya miaka yote kuja kivingine Hatimaye mwaka huu hali ndio hii... Kwahiyo huyu ndiyo taswira ya "Watanzania"katika level ya Ulimbwende??
Baada ya miaka yote kuja kivingine Hatimaye mwaka huu hali ndio hii... Kwahiyo huyu ndiyo taswira ya "Watanzania"katika level ya Ulimbwende??
Y ydn JF-Expert Member Joined Nov 24, 2015 Posts 2,092 Reaction score 1,411 Nov 22, 2016 #2 Hapana nini Mkuu?
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,774 Reaction score 26,210 Nov 22, 2016 #3 [emoji23] mwakani anashinda huyu(2017) na 2018 atashinda huyu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] mwakani anashinda huyu(2017) na 2018 atashinda huyu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
SupuyaPweza JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 914 Reaction score 472 Nov 22, 2016 #4 MMmmmmmh!... ngoja waje!...
Joycefull JF-Expert Member Joined Sep 1, 2016 Posts 770 Reaction score 391 Nov 22, 2016 #5 tusiposhinda Mwaka huu watakuwa wametuonea kbs!ila lundenga na tume yako Mungu anakuonaaaa
Chinduli Jr Member Joined Nov 21, 2016 Posts 47 Reaction score 21 Nov 22, 2016 #6 Hiv kigezo cha uzur kinatiliwa manani kweli?
AKAN JF-Expert Member Joined Oct 23, 2016 Posts 1,135 Reaction score 1,147 Nov 22, 2016 #7 hatareeeeeeeee
mgusi mukulu JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 715 Reaction score 682 Nov 22, 2016 #8 Atakuwa na undugu na naibu spika...ndo maana kapita