donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,048
- 21,524
TCRA ovyo kabisa. Yaani hayo musuala wameyafumbia machochukua hatua , ripoti TCRA.
Airtel wanaumiza watumiaji wake.Afadhali wewe uliweka 2.5GB. mimi niliweka 25GB toka siku hiyo internet imazingua. Baada ya siku 3 niliangalia salio nikakuta 16GB, nikabaki nashangaa.
Yaani mpaka hapa wanasubiri mda wa kifuruhi kuisha.
Hawa si wengine bi Airtel Tanzania
Niliwahi kusoma sehemu wameandika hao jamaa wanaweza kukupa hata gb 25 kwa bei chee ila mtandao utajua mwenyewe kwa kuupata.Afadhali wewe uliweka 2.5GB. mimi niliweka 25GB toka siku hiyo internet imazingua. Baada ya siku 3 niliangalia salio nikakuta 16GB, nikabaki nashangaa.
Yaani mpaka hapa wanasubiri mda wa kifuruhi kuisha.
Hawa si wengine bi Airtel Tanzania
Mtandao gani huo? Niwe naukwepa
Tcra wap bize na UTUPU wa GigiChukua hatua, ripoti TCRA.