Hapana, imetosha! Huu wizi wa wenye mitandao ya simu umezidi

Afadhali wewe uliweka 2.5GB. mimi niliweka 25GB toka siku hiyo internet imazingua. Baada ya siku 3 niliangalia salio nikakuta 16GB
Mimi niliweka 20GB kwa TZS 15,000 , Kifurushi cha wiki.

Baada ya kutumia 3.5GB internet ikakata.

Je nilijuaje kuwa nimetumia 3.5GB? Huwa nafanya resert ya counter kila ninaponunua kifurushi kipya
 
Afadhali wewe uliweka 2.5GB. mimi niliweka 25GB toka siku hiyo internet imazingua. Baada ya siku 3 niliangalia salio nikakuta 16GB, nikabaki nashangaa.

Yaani mpaka hapa wanasubiri mda wa kifuruhi kuisha.

Hawa si wengine bi Airtel Tanzania
Kuna mtu aliwahi kusema airtel wanaweza kukupa 10GB kwa 500 ila network utajua wewe kwa kuipata
 
Yaani tcra wangekuwa bize kwenye vifurushi Kama walivyokuwa bize na UTUPU wa gigi.
TANZANIA ingekuwa nchi salama Sana ya kuishi.
Voda wanatuibia sanaa.nimevunja laini yao nimebaki na halotel
Nina halotel, lkn nao internet ni shida nowadays!
 
Usije kupumbazwa ukanunua bando la mwezi sjui Gb 30 , utatumia gb 2 tu kisha speed ya kobe inaanza. Voda ndo baba lao kwenye speed ila ni ghali sana
 
Nunua vifurushi kwenye ,mpesa,tigo pesa,airtel maney au TPesa hawana ujanja huko
Ni haohao wafanyakazi wa mitandao
 
Back
Top Bottom