Hapana, imetosha! Huu wizi wa wenye mitandao ya simu umezidi

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
Huu wizi wa wenye mitandao ya simu umezidi.

Hivi kweli 2.5GB inaweza ikaisha kwa kubrowse social networks tu hata YouTube hujaingia Tena within 4 hours? Wakuu Kama Kuna mtu anaconnection na ISP provider hata wa satellite net anijuze.

Buku mbili yangu imeenda kibwege Sana.
 
Sii ilisemwa katika awamu hii lazima Buku itaitwa Elfu na Jero itaitwa Mia tano? sasa kwanini Buku mbili isiitwe Elfu mbili? Pole sana mkuu.
 
Afadhali wewe uliweka 2.5GB. mimi niliweka 25GB toka siku hiyo internet imazingua. Baada ya siku 3 niliangalia salio nikakuta 16GB, nikabaki nashangaa.

Yaani mpaka hapa wanasubiri mda wa kifuruhi kuisha.

Hawa si wengine bi Airtel Tanzania
 
Pakua data manager yyte uwe unachunguza matumizi yako ya data Kwa kila site unayopita. Muache kulalamika lalamika nyie Wabongo
 
Afadhali wewe uliweka 2.5GB. mimi niliweka 25GB toka siku hiyo internet imazingua. Baada ya siku 3 niliangalia salio nikakuta 16GB, nikabaki nashangaa.

Yaani mpaka hapa wanasubiri mda wa kifuruhi kuisha.

Hawa si wengine bi Airtel Tanzania
Airtel wanaumiza watumiaji wake.
 
Ni shida. Mimi nimeshindwa nitumie mtandao gani kwa intanet. Airtel nilijiunga cha mwezi 22 GB wakakata intanet. Nikajiunga Halotel Cha wiki nako nikakuta intanet spidi bora kobe. Sasa sijui niende wapi, voda wako vizuri lakini eti Tsh 1,000 wanatoa MB 150 ! Nimejaribu mitandao yote, kote majanga jana nilitaka kujaribu TTCL lakini nimezunguka kote vocha sikupata.
 
Afadhali wewe uliweka 2.5GB. mimi niliweka 25GB toka siku hiyo internet imazingua. Baada ya siku 3 niliangalia salio nikakuta 16GB, nikabaki nashangaa.

Yaani mpaka hapa wanasubiri mda wa kifuruhi kuisha.

Hawa si wengine bi Airtel Tanzania
Niliwahi kusoma sehemu wameandika hao jamaa wanaweza kukupa hata gb 25 kwa bei chee ila mtandao utajua mwenyewe kwa kuupata.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom