Aisee nimepigiwa cm eti lile bus alilopewa Lisu kule ubelgiji limeshawasili bandarini kamanda.
AMEWASHIKA MASABURI YENU MA CCMUnapaswa kuwa makini mno na data za Zito, huwa ni uongo uongo mwingi.
Mashaka yako wapi sasa? Lile bus limeshawasili bandarini linangoja kugombolewa tu.Tulieni sasa, mashaka ya nini?
In God we Trust
Zitto alisema Reli haijafika Moro yaani haijakamilikaKwani imeambiwa ujenzi umekamilika!?
After all, yule Yuda kwenye ile clip alisema Reli mwisho MOROGORO, wakati sio kweli
MPUUZI WEWEWatoto wa mjini wanasema jamaa kadata.
Hivi kweli unaweza poteza muda kujibu uongo??lakini mbna sijawahi ona Zito akifunguliwa mashtaka kwa kosa la kusambaza habari za uongo
na pia sijawahi sikia eneo/kitengo anachokiongelea eidha wizala au mkoa husika ama wasimamizi wa mladi husika kukanusha kwa hoja mbadala ili kithibitisha uwongo wake zaidi utasikia matamko ya wapambe tu mitandaoni ndo wanakuwa wakali
wakati Zito yeye huwa anaitisha hadi mkutano na waandishi na wakati mwingne anasema kabisa ni tamko la chama au anatumia account zake verified kabisa
ni kwanini
je anayosema huwa ni sahihi yenye ukweli ?
Sent using Jamii Forums mobile app
KWENDA.....TOKAAAAAA GO TO HELL. SHETANI WEWEHivi kweli unaweza poteza muda kujibu uongo??
Ndugu, kwenye ujenzi wa reli track works ni kazi ndogo sana. Kazi kubwa iko katika kusawazisha milima na mabonde (earthwork - fill and cut works) pamoja na ujenzi wa madaraja.Reli tunayoonyeshwa hapa ni vipande vipande na mahandaki ambayo hayajakamilika ila tracks bado sana
Kwani hielewi kitu kinaitwa Capital + Liability = AsstNamvizia mzee meko aje aseme tunajenga miradi kwa fedha za ndani maana najua atakua hajui kama watanzania tunajua kuna mkopo tumepewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mkopo nayo ni hela yetu ndio kwani hatutalipa ??? Watz uelewa upo down sana poleniNamvizia mzee meko aje aseme tunajenga miradi kwa fedha za ndani maana najua atakua hajui kama watanzania tunajua kuna mkopo tumepewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu, kwenye ujenzi wa reli track works ni kazi ndogo sana. Kazi kubwa iko katika kusawazisha milima na mabonde (earthwork - fill and cut works) pamoja na ujenzi wa madaraja.
Fill work ni ujenzi wa tuta
Kwa mfano: kuna section panatakiwa lijengwe tuta la kimo (height) meta 20 au zaidi. Procedure ni kwamba tuta hilo linajengwa kwa tabaka (layer) lenye unene wa sentimeta 25 (selected material, well mix with proper moisture, well compacted followed by inspection and testing). Meta 20 ni sawa na tabaka (layers 80). Kwa urefu wa kilometa 1 hii kazi ili ikamilike inaweza kuchukua atleast 35 days (kwa kufanya kazi usiku na mchana ukiwa na 3 sets of equipment, mvua isiponyesha hata siku moja, without equipment breakdown au tatizo lolote lile).
Kwenye mradi huu wa SGR-Tz, track works tabaka hazizidi 3 ambazo kila tabaka unene wake hauzidi sentimeta 30, kisha wanaweka ballast (kokoto nene), mataruma (sleepers) na hatimaye kuweka reli (vyuma). Track works kwenye urefu wa kilometa 1, kazi zote hizi zinaweza kukamilishwa ndani ya siku 5.
Progress report inayotolewa na TRC inaandaliwa na Msimamizi wa mradi ambaye ni KOREA RAIL ROAD (KORAIL JV) na ni taarifa sahihi. Kuamini au kutokuamini taarifa hizi ni uamuzi wako na haulazimishwi kuamua vyovyote vile.
Mimi niko site kila siku kwenye mradi huu tangu 2017, ninajua kinachoendelea na taarifa zinazotolewa kuhusu maendeleo ya mradi ni sahihi.
"Reli" anayoongelea Mhe Zitto Kabwe ni Mataruma ila Acheni kudanganya wananchi huu mradi bado unasua sua na fedha za kuendeleza hadi Tabora hakuna.Progress report inayotolewa na TRC inaandaliwa na Msimamizi wa mradi ambaye ni KOREA RAIL ROAD (KORAIL JV) na ni taarifa sahihi. Kuamini au kutokuamini taarifa hizi ni uamuzi wako
Je, unaweza kutuwekea nakala ya BOQ ya mradi wa TAZARA ili tulinganishe na SGR ili tuone scope of works zinatofautina kwa kiasi gani. Kwa mtazamo wako scope of work unaitazama in terms of kilometres pekee yake. Earthwork quantities (fill and cut volumes) na quantities za concrete na nondo (reinforcements) kama ni kubwa (nyingi) zinaweza kuchangia sababu ya mradi kuchukua muda mrefu kukamilika...afadhali umekuja mtaalamu wetu.
..kwanini reli hii inachukua muda mrefu kujenga kuliko Tazara?
..tazara ina urefu wa km 1860.
..sasa hivi teknolojia na vifaa ni bora kuliko wakati Tazara inajengwa 1970 to 1975.
..pia contractor wa Tazara hakuwa na uzoefu wa miradi mikubwa na ujenzi wa reli ukilinganisha na contractor wa sgr.
..mimi siyo mtaalamu wa ujenzi au wa reli, kwa hiyo naomba elimu toka kwako.
Tutatumia pesa zetu za ndani kwenye miradi yetu. Unaikumbuka hii kauli? Au na wewe ndiyo walewale wazee wa kusahau?Hata mkopo nayo ni hela yetu ndio kwani hatutalipa ??? Watz uelewa upo down sana poleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapaswa kuwa makini mno na data za Zito, huwa ni uongo uongo mwingi.
Waziri Mkuu atakuwa anajiteka teka kila wakati, duh.Mmmm napiga picha Zitto akiwa Rais and then Nondo akawa waziri mkuu .Taifa litakuwa uongo kwenda mbele.
Je, unaweza kutuwekea nakala ya BOQ ya mradi wa TAZARA ili tulinganishe na SGR ili tuone scope of works zinatofautina kwa kiasi gani. Kwa mtazamo wako scope of work unaitazama in terms of kilometres pekee yake. Earthwork quantities (fill and cut volumes) na quantities za concrete na nondo (reinforcements) kama ni kubwa (nyingi) zinaweza kuchangia sababu ya mradi kuchukua muda mrefu kukamilika.
Kwenye mradi wa sgr kuna work items tena kubwa ambazo nina uhakika haziko kwenye mradi wa TAZARA, mfano: madaraja ya juu kutoka Dsm station hadi Ilala, daraja kubwa la mto Ruvu, electrification and catenary works, nk. Yote hayo yanafanya design za miradi hii miwili itofautiane na pia scope ya kazi itofautiane!
Lakini pia ikumbukwe kwamba, huwa kuna changamoto nyingi sana wakati wa utekelezaji wa miradi mikubwa kama huu wa sgr.