Hapa Zitto ana maanisha nini?

Hapa Zitto ana maanisha nini?

Sisi tuko huku Shinyanga, hatuoni hata dalili kuwa reli hii inajengwa....

Hata kuwaona tu wale surveyors wa kuzuga kuzuga kisiasa, hatujawaona....!!

Nadhani kama na hii inayopita hapa Shinyanga itajengwa kwa kiwango cha SGR, labda miaka kumi au ishirini ijayo kwa sababu maandiko ya kutafuta mkopo kwenye mabenki bado yanaandaliwa, right?
Hilo swali majibu wanayo serikali kuu. Mimi ni site engineer tu.
 
Hii ndio approach inayoleta na kuchochea mis understanding. Kulikuwa na ugumu gani ku toa comprehensive response ya alichosema Zitto hoja kwa hoja?Hapo angemaliza mchezo wote kabisa halafu kipande alichoonyesha cha Moro Makutupora hakutaka kuonyesha uthibitisho at angehoji wanakijiji tuingekuwa poa. Sasa the whole thing in kuwa kama propaganda. Mnampa Rais wetu kazi ngumu sana.Mpaka kila kitu aseme mwenyewe sasamnalipwa kwa kazi gani?
 
Hata sikuelewi.
 
Back
Top Bottom