Hapa, Waziri Mkuu Majaliwa anakosea sana

Waziri Mkuu ametoa amri kwamba katika kipendi cha miezi miwili serikali yote iwe imehamia Dodoma.

Japokuwa suala la kuhamia Dodoma limekuwa la muda mrefu, lakini kutoa miezi miwili Wizara ziwe zimehama ni kufanya kazi kutumia nguvu ya siasa badala ya lojiki (lack of rational thinking), hasa ukizingatia mambo yafuatayo;
  • kuhamishia serikali Dodoma ni zaidi ya waziri na katibu mkuu (ambao wengi wana nyumba tayari Dodoma) kuhamia Dodoma. Wizara ni watu
  • kuhamishia serikali Dodoma inatia ndani kuhamishia ofisi zote za ubalozi kwenda Dodoma (je nao unawapa miezi miwili?)
  • kuna suala la kupata majengo na vyumba vya ofisi kwa wafanya kazi
  • kuna suala la malipo ya kuhamisha wafanya kazi na vyombo vyao
  • kuna suala la kuhamisha furniture, computer za ofisini toka Dar kwenda Dodoma
  • kuna suala la kusuka mfumo wa mawasiliano katika ofisi mpya huko Dodoma
  • kuna suala la wafanyakazi kupata sehemu za kukaa huko Dodoma
  • kuna suala la kutatua mambo yanayohusu familia, kama mke au mume ndie anaehama, au kama mke na mume wote ni wafanya kazi hapa Dar wataathiriwaje na kuhama huku
  • kuna suala la watoto wa wafanyakazi hawa walioko mashuleni hapa Dar kuhamia Dodoma
  • kuna suala la baadhi ya familia kutatua suala la nyumba zao watakazoziacha Dar
  • kuna suala la kuwaandaa watu kisaikolojia kuhusu kuhama badala ya kuwahamisha kama vile tuko kwenye state of emergency
  • nk
Ukizingatia mambo kama hayo hapo juu, utaona wazi kwamba Waziri Mkuu alitakiwa kutoa miezi kwa kiwango cha chini kabisa, sita, ili kuwe na maandalizi yenye utaratibu ili watu weze kuhama kwa mpangilio, na sio kuhamisha watu kama vile kupeleka kikosi cha jeshi mpakani baada ya kuvamiwa na nchi jirani. Hivi viongozi wetu huwa hawayaoni haya wanapotoa amri? Nashangaa sana awamu ya tano ya uongozi wa Tanzania imejaa amri ambazo zinatolewa kushoto, kulia na katikati bila kufanyiwa tafakari za kina. Hivi kweli hiyo ndiyo filosofia ya "Hapa Kazi Tu"?

Na cha ajabu, Waziri Mkuu anasema kwamba "hatuchezi mchezo wa siasa hapa, tutapitisha sheria katika Bunge mwezi Septemba kufanya suala la kuhamia Dodoma liwe rasmi" (we are not playing politics here...we will pass legislation in parliament in September to make the move to Dodoma official)

Sasa suala la kujiuliza ni kwamba, kama sheria itafikishwa Bungeni Septemba, siku zote hizi suala la kuhamia Dodoma halikuwa rasmi? Na kama sheria ya kuhamia Dodoma itapelekwa Bungeni Septemba, kwa nini Waziri Mkuu anatoa amri juu ya jambo ambalo bado si rasmi kisheria?

Hivi kwa nini viongozi wetu wanadhani kila jambo linahitaji amri kama za kijeshi ili litekelezwe? Je, kutoa amri bila kufikiria athari za kisosholojia na kiuchumi (socio-economic impacts) sio ubwana ambao tuliupinga kwa muda mrefu sana? Frankly, I was expecting much better from my prime minister than this kind of reckless leadership style.

Ushauri wa bure kwa Waziri Mkuu Majaliwa ni kwamba nguzo na nguvu ya taifa lolote iko katika muungano wa kifamilia. Unapovunja familia unavunja nguvu ya taifa. Huko nyuma empire ya Roma ilivunjika kwa sababu ya mvunjiko wa kifamilia. Kwa hiyo hili suala linahitaji utaratibu mzuri, gradual relocation implementation labda katika kipindi cha mwaka mzima, likifanyika kwa kuhamisha wafanya kazi katika kila wizara kwa awamu kulingana na impact zao katika kuendesha Wizara. Sio kuwaambia watu funga virago ondoka nenda Dodoma haraka. La sivyo utaona barua nyingi za kujiuzuru kazi au hata mivunjiko katika familia. Na watu wa ubalozi je, au umeamua serikali yote itakuwa Dodoma na wao wabaki Dar?

Na vyama vya wafanyakazi iweje viko kimya katika hili?

Hakuna cha vyombo hapa asiyependa kuhama aache kazi
 
“It always seems impossible until it's done’’― Nelson Mandela.

Sisi tumezoea sana porojo kiasi kwamba hata mtu akiwa serious tunadhani ni porojo.

Madawati tu kwenye shule zetu ilikuwa ni porojo kwa muda mrefu na hata Rais Magufuli aliposema suala la uhaba wa madawati lazima tulimalize kwa muda mfupi, kuna wengine walidhani ni porojo zile zile za miaka mingi.

He who knows not and knows not that he knows not is a fool!
well said
 
Hawana tofauti na mfalme j...u...h...a
 
Hadi sasa sijaona fungu lililoidhinishwa na bunge kuhusu serikali kuhamia dodoma.
Magufuli hahitaji bunge.

Magufuli alishaamrisha bunge litoe fedha za tafrija ziende hospitali.

Magufuli alishaielekeza mahakama jinsi ya kuamua kesi zake.

Magufuli ni rais, Spika na Jaji Mkuu.

They wanted to call the new bridge "Magufuli Bridge", but then they realized that you can't cross Magufuli and live to tell the tale, so they decided to call it Nyerere Bridge instead.
 
Mkuu kama unaelewa Kingereza soma hapa chini; IPPMedia. Na hata kama amesema key government functions, niambie zipi kati ya government functions sio key? Azitaje basi tujue kuna watu au wizara zinatakiwa kupunguzwa kwa sabu sio za msingi (key) ilii tubane matumizi. Wengine tunachoelewa ni kwamba all government functions are key.

View attachment 371917
Ukijiona wewe kwenye nafasi yako ya kazi huna mtu wa kumtumbua kama jipu basi ujue wewe sio key function na ofisi yako itakuwa ofisi ya kata kifunction sie tukienda dodoma
 
PM ni bendera fata upepo! Jamani hyo si prioryty kwa sasa hivi hii ni serikali ya aina gni aise
 
Mkuu Nafikiri haya maswali yote yana majibu tangu pale Nyerere alipotangaza nia yake ya kuhamisha serikali Dodoma. Tatizo ni utekelezaji.. Serikali hii iko serious kwenye hili. Naunga mkono hoja ya waziri mkuu 100%.
 
kuanzia pale 1961 mpaka 1999 tulikuwa na viongozi baada ya hapo tunavijitu vidogo ambavyo ni VITAWALA
 
Waziri Mkuu ametoa amri kwamba katika kipendi cha miezi miwili serikali yote iwe imehamia Dodoma.

Japokuwa suala la kuhamia Dodoma limekuwa la muda mrefu, lakini kutoa miezi miwili Wizara ziwe zimehama ni kufanya kazi kutumia nguvu ya siasa badala ya lojiki (lack of rational thinking), hasa ukizingatia mambo yafuatayo;
  • kuhamishia serikali Dodoma ni zaidi ya waziri na katibu mkuu (ambao wengi wana nyumba tayari Dodoma) kuhamia Dodoma. Wizara ni watu
  • kuhamishia serikali Dodoma inatia ndani kuhamishia ofisi zote za ubalozi kwenda Dodoma (je nao unawapa miezi miwili?)
  • kuna suala la kupata majengo na vyumba vya ofisi kwa wafanya kazi
  • kuna suala la malipo ya kuhamisha wafanya kazi na vyombo vyao
  • kuna suala la kuhamisha furniture, computer za ofisini toka Dar kwenda Dodoma
  • kuna suala la kusuka mfumo wa mawasiliano katika ofisi mpya huko Dodoma
  • kuna suala la wafanyakazi kupata sehemu za kukaa huko Dodoma
  • kuna suala la kutatua mambo yanayohusu familia, kama mke au mume ndie anaehama, au kama mke na mume wote ni wafanya kazi hapa Dar wataathiriwaje na kuhama huku
  • kuna suala la watoto wa wafanyakazi hawa walioko mashuleni hapa Dar kuhamia Dodoma
  • kuna suala la baadhi ya familia kutatua suala la nyumba zao watakazoziacha Dar
  • kuna suala la kuwaandaa watu kisaikolojia kuhusu kuhama badala ya kuwahamisha kama vile tuko kwenye state of emergency
  • nk
Ukizingatia mambo kama hayo hapo juu, utaona wazi kwamba Waziri Mkuu alitakiwa kutoa miezi kwa kiwango cha chini kabisa, sita, ili kuwe na maandalizi yenye utaratibu ili watu weze kuhama kwa mpangilio, na sio kuhamisha watu kama vile kupeleka kikosi cha jeshi mpakani baada ya kuvamiwa na nchi jirani. Hivi viongozi wetu huwa hawayaoni haya wanapotoa amri? Nashangaa sana awamu ya tano ya uongozi wa Tanzania imejaa amri ambazo zinatolewa kushoto, kulia na katikati bila kufanyiwa tafakari za kina. Hivi kweli hiyo ndiyo filosofia ya "Hapa Kazi Tu"?

Na cha ajabu, Waziri Mkuu anasema kwamba "hatuchezi mchezo wa siasa hapa, tutapitisha sheria katika Bunge mwezi Septemba kufanya suala la kuhamia Dodoma liwe rasmi" (we are not playing politics here...we will pass legislation in parliament in September to make the move to Dodoma official)

Sasa suala la kujiuliza ni kwamba, kama sheria itafikishwa Bungeni Septemba, siku zote hizi suala la kuhamia Dodoma halikuwa rasmi? Na kama sheria ya kuhamia Dodoma itapelekwa Bungeni Septemba, kwa nini Waziri Mkuu anatoa amri juu ya jambo ambalo bado si rasmi kisheria?

Hivi kwa nini viongozi wetu wanadhani kila jambo linahitaji amri kama za kijeshi ili litekelezwe? Je, kutoa amri bila kufikiria athari za kisosholojia na kiuchumi (socio-economic impacts) sio ubwana ambao tuliupinga kwa muda mrefu sana? Frankly, I was expecting much better from my prime minister than this kind of reckless leadership style.

Ushauri wa bure kwa Waziri Mkuu Majaliwa ni kwamba nguzo na nguvu ya taifa lolote iko katika muungano wa kifamilia. Unapovunja familia unavunja nguvu ya taifa. Huko nyuma empire ya Roma ilivunjika kwa sababu ya mvunjiko wa kifamilia. Kwa hiyo hili suala linahitaji utaratibu mzuri, gradual relocation implementation labda katika kipindi cha mwaka mzima, likifanyika kwa kuhamisha wafanya kazi katika kila wizara kwa awamu kulingana na impact zao katika kuendesha Wizara. Sio kuwaambia watu funga virago ondoka nenda Dodoma haraka. La sivyo utaona barua nyingi za kujiuzuru kazi au hata mivunjiko katika familia. Na watu wa ubalozi je, au umeamua serikali yote itakuwa Dodoma na wao wabaki Dar?

Na vyama vya wafanyakazi iweje viko kimya katika hili?

Mungu hakosei, usikufuru
 
Magufuli hahitaji bunge.

Magufuli alishaamrisha bunge litoe fedha za tafrija ziende hospitali.

Magufuli alishaielekeza mahakama jinsi ya kuamua kesi zake.

Magufuli ni rais, Spika na Jaji Mkuu.

They wanted to call the new bridge "Magufuli Bridge", but then they realized that you can't cross Magufuli and live to tell the tale, so they decided to call it Nyerere Bridge instead.

Tanzania tunaelekea shimoni.
 
Sisi yetu macho, tutawahukumu 2020 na ole wao, ahadi zibakie kwenye ilani ya chama chao tu. Watayakimbia majukwaa !
 
Tuweke tu kumbukumbu vizuri kitambo kidogo historia ya yanayotokea sasa itaeleza tofauti kabisa na inavyoelezwa sasa hivi.
 
Ushabiki mwingi sana kwenye hoja.za.msingi.kabisa. Kama.maandalizi yapo kwanini JPM hakusema atahamia kabla ya.mwaka.huu kwisha?
Hili.swala ni nyeti sana kujadiliwa kishabiki namna hii. Naunga mkono.hoja ya serikali kuhamia dodoma ila sio kwa muda huo. Nakubaliana na hoja za.mleta mada.
 
ni wataalamu, katika hili sina shaka, kika kitu natumai kitakuwa barabara.
 
Waziri Mkuu ametoa amri kwamba katika kipendi cha miezi miwili serikali yote iwe imehamia Dodoma.

Japokuwa suala la kuhamia Dodoma limekuwa la muda mrefu, lakini kutoa miezi miwili Wizara ziwe zimehama ni kufanya kazi kutumia nguvu ya siasa badala ya lojiki (lack of rational thinking), hasa ukizingatia mambo yafuatayo;
  • kuhamishia serikali Dodoma ni zaidi ya waziri na katibu mkuu (ambao wengi wana nyumba tayari Dodoma) kuhamia Dodoma. Wizara ni watu
  • kuhamishia serikali Dodoma inatia ndani kuhamishia ofisi zote za ubalozi kwenda Dodoma (je nao unawapa miezi miwili?)
  • kuna suala la kupata majengo na vyumba vya ofisi kwa wafanya kazi
  • kuna suala la malipo ya kuhamisha wafanya kazi na vyombo vyao
  • kuna suala la kuhamisha furniture, computer za ofisini toka Dar kwenda Dodoma
  • kuna suala la kusuka mfumo wa mawasiliano katika ofisi mpya huko Dodoma
  • kuna suala la wafanyakazi kupata sehemu za kukaa huko Dodoma
  • kuna suala la kutatua mambo yanayohusu familia, kama mke au mume ndie anaehama, au kama mke na mume wote ni wafanya kazi hapa Dar wataathiriwaje na kuhama huku
  • kuna suala la watoto wa wafanyakazi hawa walioko mashuleni hapa Dar kuhamia Dodoma
  • kuna suala la baadhi ya familia kutatua suala la nyumba zao watakazoziacha Dar
  • kuna suala la kuwaandaa watu kisaikolojia kuhusu kuhama badala ya kuwahamisha kama vile tuko kwenye state of emergency
  • nk
Ukizingatia mambo kama hayo hapo juu, utaona wazi kwamba Waziri Mkuu alitakiwa kutoa miezi kwa kiwango cha chini kabisa, sita, ili kuwe na maandalizi yenye utaratibu ili watu weze kuhama kwa mpangilio, na sio kuhamisha watu kama vile kupeleka kikosi cha jeshi mpakani baada ya kuvamiwa na nchi jirani. Hivi viongozi wetu huwa hawayaoni haya wanapotoa amri? Nashangaa sana awamu ya tano ya uongozi wa Tanzania imejaa amri ambazo zinatolewa kushoto, kulia na katikati bila kufanyiwa tafakari za kina. Hivi kweli hiyo ndiyo filosofia ya "Hapa Kazi Tu"?

Na cha ajabu, Waziri Mkuu anasema kwamba "hatuchezi mchezo wa siasa hapa, tutapitisha sheria katika Bunge mwezi Septemba kufanya suala la kuhamia Dodoma liwe rasmi" (we are not playing politics here...we will pass legislation in parliament in September to make the move to Dodoma official)

Sasa suala la kujiuliza ni kwamba, kama sheria itafikishwa Bungeni Septemba, siku zote hizi suala la kuhamia Dodoma halikuwa rasmi? Na kama sheria ya kuhamia Dodoma itapelekwa Bungeni Septemba, kwa nini Waziri Mkuu anatoa amri juu ya jambo ambalo bado si rasmi kisheria?

Hivi kwa nini viongozi wetu wanadhani kila jambo linahitaji amri kama za kijeshi ili litekelezwe? Je, kutoa amri bila kufikiria athari za kisosholojia na kiuchumi (socio-economic impacts) sio ubwana ambao tuliupinga kwa muda mrefu sana? Frankly, I was expecting much better from my prime minister than this kind of reckless leadership style.

Ushauri wa bure kwa Waziri Mkuu Majaliwa ni kwamba nguzo na nguvu ya taifa lolote iko katika muungano wa kifamilia. Unapovunja familia unavunja nguvu ya taifa. Huko nyuma empire ya Roma ilivunjika kwa sababu ya mvunjiko wa kifamilia. Kwa hiyo hili suala linahitaji utaratibu mzuri, gradual relocation implementation labda katika kipindi cha mwaka mzima, likifanyika kwa kuhamisha wafanya kazi katika kila wizara kwa awamu kulingana na impact zao katika kuendesha Wizara. Sio kuwaambia watu funga virago ondoka nenda Dodoma haraka. La sivyo utaona barua nyingi za kujiuzuru kazi au hata mivunjiko katika familia. Na watu wa ubalozi je, au umeamua serikali yote itakuwa Dodoma na wao wabaki Dar?

Na vyama vya wafanyakazi iweje viko kimya katika hili?

Watu kama wewe wahitajika sana kwenye utungaji wa sheria lkn watakuja wabishi..... ila kaulimbiu ya hapa kazi tu itawatesa wengi. Rai yangu ni kuwa mheshimiwa achukue ushauri wako aufayiekazi! Simple!
 
Hahahahaaa vituko juu ya vituko, now dayz story siyo viwanda tena, story ni kuamia dom, yetu macho
 
....ni rahisi kusema kuliko kutenda... At least kila rais aliyekuwepo aliwahi kusema atahamia Dodoma.... Ninachojiuliza ni kuwa kama kwa miaka zaidi ya 20 serikali ya ccm imeshindwa kuhamia Dodoma...kuna muujiza gani utatokea wa kufanya hivyo ndani ya miezi miwili?....nachoweza kusema ni kuwa hii serikali ya sasa wana mtindo mpya wa kukurupuka.....mifano ni mingi....mmoja ni timuatimua majipu....wengi wao wanarudishwa kichinichini...tena wengine wanarudi kwa maandidhi/matamko...kama kule MSD...
 
Wakuu iko hivi,waziri mkuu keshasema yeye by sept atakuwa keshahamia Dom na akasema akiondoka anataka mawaziri wote wamfuate mara moja. Kwa maana hiyo umependa hukupenda ndio kauli imeshatolewa,na majadiliano sio kutokwenda ila majadiliano yanayotakiwa hapa ni jinsi gani munatekeleza hili agizo. Sasa wewe ukisema miundo mbinu sijui sijui vidude gani haitosaidia kitu.
 
Back
Top Bottom