Mr Dhaifu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 778
- 184
Hawa wote wanaopinga wanamasilhi na serikali kubaki Dar ni wafanyakazi na wanafanya biashara wengine mahotel,maduka ni,lakini huwezi kubakiza serikali Dar kwa ajili ya watu wa Dar million tano uache watu wamikoani milioni 45.Hii nchi bila mitulunga haiendi;
na iwapo JPM atafeli kuhamia Dodoma ndo mwisho
hakuna kiongozi atakayekuja mwenye udhubutu tena;
Twendeni Dodoma, hata Yerusalemu haikujengwa siku moja.