Hapa wapi? zawadi inatolewa

Mmekosa wote. Jaribuni tena

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Katika michezo ambayo siipendi duniani - kikapu namba moja(samahani kwa nitakaowakwaza) mchezo wa kikapu siupendi/siukubali/siuelewi na sihitaji kuuelewa, kifupi siupendi
 
Katika michezo ambayo siipendi duniani - kikapu namba moja(samahani kwa nitakaowakwaza) mchezo wa kikapu siupendi/siukubali/siuelewi na sihitaji kuuelewa, kifupi siupendi

Hujalazimishwa kusema lolote lakini
 
Hujalazimishwa kusema lolote lakini
Ndugu yangu sina nia mbaya, ni mchango wangu tu, na mimi najitahidi kutupia tupia michango japo na mimi idadi ya michango iongezeke

Sorry if I offended you, nothing personal
 
Hapa ni jombe kwenye mashamba ya chai. uwanja huu hutumiwa sana na wazungu kwa mazoezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…