Hapa vipi?

Hapa vipi?

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(a)To answer this call,press ANY KEY on your cellular phone keypad,where is the ANY KEY on your phone keypad? (b)Hebu sema SHIKAMOO kwa kiingereza! (c)Maliza na hii basi,"Weka alama yoyote ya kihesabu(mathematical sign/symbol) kati ya 5 na 9,jawabu lako liwe kubwa kuliko 5 na dogo kuliko 9".
 
(a) Every where..
(b) TouchMo
(c) 8

Jaguarpaw hakikisha umesahisha...lol
 
a) every key is any key in my phone keypad.
b) Kule kwetu kanda ya ziwa tafsiri yake kwa kiingereza ni hold in.
c) 5<x<9
 
a) every key is any key in my phone keypad.
b) Kule kwetu kanda ya ziwa tafsiri yake kwa kiingereza ni hold in.
c) 5<x<9
Thanks buddy,lakini hapo (c) inatakiwa any mathematical symbol or sign,hakitakiwi kingine chochote zaidi ya signs and symbols,hiyo x imeharibu mambo hapo!
 
(a) Every where..
(b) TouchMo
(c) 8
Jaguarpaw hakikisha umesahisha...lol
My sister,where is everywhere on your phone keypad?If i will take you and your friend and give you the same brand of cellular phones,if i will tell you to touch the ANY KEY while you are in different rooms,will you touch the same key?sometimes it can happen.Don't take it serious,it is just for fun!
 
Hapo ndo unapoona kua key yoyote yaweza pokea a call - thus my answer ya every where over the key pad... Alafu mwalimu gani unatoa tu majibu ya swali moja wat about kipengele b na c
 
Hapo ndo unapoona kua key yoyote yaweza pokea a call - thus my answer ya every where over the key pad... Alafu mwalimu gani unatoa tu majibu ya swali moja wat about kipengele b na c
najenga subra kwanza,labda kuna wengine wataka jaribu.
 
Thanks buddy,lakini hapo (c) inatakiwa any mathematical symbol or sign,hakitakiwi kingine chochote zaidi ya signs and symbols,hiyo x imeharibu mambo hapo!
Ngoja kwanza ninywe chai nitarudi.
 
No,the answer should be >5 and <9.
Mathematically is the same as i wrote before when i included x, for your case instead of x you have expanded, the symbols < and > are comparative symbols you cant just write it and another number it must include at least two figures, one to the left and the other to the right, if you say >5, what does that mean?
 
Come to think of it, if money doesn't grow on trees why do banks have branches?
 
Back
Top Bottom