Yupi ni wewe hapo mwanangu?Hawa nao.. Km malimao.![]()
![]()
![]()
Ngumbalu ya Tz haikuwa na unifomu bwana hapa ni Kenya kwa yule mzee wa miaka 80+..
FaizerFix na Kichumvi wakitoka shule kusomea ujinga![]()
Hii aiyo ilw mifuko mikubwa inauzwa dunia nzima. Unakuta mtu toka kwenye ndege kalishona hilo limejaa sijui nini. Wenzetu kumbe sare ya outing.![]()
Mapenzi ya Kisukuma
Kwani tozi hawezi kuwa kama hao? Ni muonekano tu basiiii.Mi ni Tozy wa Dar
Hao Arachuga
Shauri yako Mr. Juma Purukushani Mataputapu akusikie.Wasukuma huwa hawaulizi
Hapo Granny katoka kapa. Ngoja nikalale mie.Kuna sina nyingi za Matozy
Wa Dar wanajua blingbling + usmart
Wa mikoani ndo vituko
Mhu mei huy simjui labda mato ya kuvulia una maana???? Mhu simjui hasa.Sokomoko wa Chato
![]()
![]()
![]()
![]()