chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,885
- 29,675
- Thread starter
- #21
Wooi dose gani hiyo kaka, utamegewa kweli tena, we achana na ushauri wa doc kwan ukimichana nae mara mbili au moja kuna shida gani, hakuna litalo haribika.
mkuu naheshimu sana ushauri wa daktari, siwezi kukiuka maagizo niliyopewa, uanaweza kunishauri vingine kaka,.. Karibu