Hapa vipi jamani

TZ boy

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
625
181
Mtaani kuna ubishi kuhusu hii kozi ya GEOLOGY kwamba EGM hawezi kuisomea ni PCM tu embu funguka baadhi wanadai EGM anaweza wengine wanakata embu ni fumbue ni vigezo gani vinatumika hapo?,
karibu
 
EGM inakuwa wasiwasi kidogo,kama unabackground ya chemistry unaweza fanya ila kama hiyo kemia haipo itakula kwako!
 
Back
Top Bottom