Hapa utani wa makabila nimeweka kando

Hapa utani wa makabila nimeweka kando

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,116
1416679231558.jpg
 
Dah! Hii kali

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
na ukishalipa mkopo unatemwa fasta kwa kuimbiwa "parapanda italia parapanda..."
 
Nashukuru watani zangu ishu ya escrow walipigwa chenga ya mwili hawasomeki popote la sivyo mashambulizi yangekuwa kwa kiwango cha kushangaza
 
Nashukuru watani zangu ishu ya escrow walipigwa chenga ya mwili hawasomeki popote la sivyo mashambulizi yangekuwa kwa kiwango cha kushangaza

Ishu ya eskiroo ni ya kina kokubanza, kokushubira, mukabatunzi, n.k kinamanka wameihepa hii
 
Ishu ya eskiroo ni ya kina kokubanza, kokushubira, mukabatunzi, n.k kinamanka wameihepa hii

Walitengeneza kilinge cha wezi aisee... Tumekomamae...!!!!!
 
Back
Top Bottom