Hapa Tanzania inawezekana kweli?

Hapa Tanzania inawezekana kweli?

Watu wazima wa jinsia tofauti mkaenda mahali mkala mkanywa mkaogelea kwa siku tatu mkalala story za maisha nk ila kusiwepo na sex ! Inawezekana kweli au nikitulize tu nyumbani?

Nawaza tu ingekuwa vizuri kupata idea tofauti na mtu tofauti kufunga mwaka ila watu wazima wenzangu inawezekana? Au naota?
jina lako nani?
 
inawezekana kama utalipia maana me siwez kukunyeshwa na kukulisha bure....
 
kweli sitanii nataka niburudike sikukuu jamani ila kulala kila mtu room yake japo hotel moja
Kama ni hivyo kila mbuzi ale urefu wa kamba yake maana huwa hamchelewi kutaka kuhudumiwa na hapo ndio utakapohitajika ulipie vya watu
 
Vacation ya kugegedwa hio[emoji12]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Inawezekana kama siku ya kwenda ndo ukaanza kuvuja huko chini
 
kama ni kaka yako wa damu inawezekana sana ila kama mwanaume na hauna undg nae halaf rijali haiwezekani ata kukubaka atakubaka
 
Inawezekana hiyo, nichague mimi nitakuchulia powa tu, story nyingi. Ila jitahidi usilale usingizi tu. Maana hapo ndio shetani atatawala.
 
Watu wazima wa jinsia tofauti mkaenda mahali mkala mkanywa mkaogelea kwa siku tatu mkalala story za maisha nk ila kusiwepo na sex ! Inawezekana kweli au nikitulize tu nyumbani?

Nawaza tu ingekuwa vizuri kupata idea tofauti na mtu tofauti kufunga mwaka ila watu wazima wenzangu inawezekana? Au naota?


Unataka kutoka na mwanamme mwenzako au? Samahani, hivi wewe ni mwanamme wa Dar?
 
Kwangu mm inawezekana maana nimewahi lala na binti usiku mzima bila kumgusa
 
Mie kwangu haiwezekani, masaa tu nishaharibu, sasa hizo siku tatu ni sawa na ratiba za safari za Precission air[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Watu wazima wa jinsia tofauti mkaenda mahali mkala mkanywa mkaogelea kwa siku tatu mkalala story za maisha nk ila kusiwepo na sex ! Inawezekana kweli au nikitulize tu nyumbani?

Nawaza tu ingekuwa vizuri kupata idea tofauti na mtu tofauti kufunga mwaka ila watu wazima wenzangu inawezekana? Au naota?
Kama mtakapo toka gharama mtalipia wote haina shida manake kila mmoja atakua na rum yake lakin kwa tabia za wanawake wa kibongo ataondoka home na nguo zake na make up zake tu .Sasa mwanaume hua ana akili mingi anapokulipia vtu ni kama anakutolea mahari icvyo rasmi so lazima akudinye tu manake kisheria huwez mhudumia kuku ambae hatagi hata mayai viza
 
Back
Top Bottom