Hapa slaa wamemnyima jezi au. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa slaa wamemnyima jezi au.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Wingu, Feb 18, 2012.

 1. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kamanda slaa karibu na mkuu wa kaya.Kiatu aliyochokipaga chini naona kama sio raba vile.Naona mhusiano yanaanza kuja kuja vile na mkuu mwenyewe
   

  Attached Files:

  • slaa.jpg
   slaa.jpg
   File size:
   283.2 KB
   Views:
   276
 2. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wapi ilikuwa?
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Naona amepiga chini trac za mariedo 1m kwa pea.

  Kweli slaa mzalendo.
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Maandamano ya kuchangia hospital ya baobab iliyo chini ya ccbrt
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Yeye kaliwakilisha Taifa bana maana hapo mtu yeyote atakaemwona hatouliza ni wa nchi gani
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  slaa ni shabiki wa yanga damu,kuvaa jezi za simba ni usaliti!
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  yanga ni tawi la walevi wa ccm.
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  mariedo = blandina nyoni.
  Do the math!!
   
 9. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Kwa kuvaa boxer nyeusi..sarawili nyeusi, sox nyeusi na kiatu cheusi nina hakika na joto hili la dar na hivi huna hata vitz basi huko chini una vunda kama mdomo wa ze puraimu...mini!! MAMBA

  :focus:

  walikua wanachangisha pesa zamradi campaign ya fistula ilio dhaminiwa na vodacom ikiwa na lengo ya kuchangisha bil.1 na kwakua Slaa ni Mwenyekiti wa bodi ya CCBRT alimshukuru rais kwa kuendesha harambee hiyo ambayao kwa mara ya kwanza ilifanyika Movinpick (sasa Serena)..
   
 10. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Zoezi dogo hilo Mkulu kauma meno kabisa. Kulikoni?
   
 11. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Duh, naona Dokta Silaa hilo sweta ni kama vile limemvaa yeye..
   
 12. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,473
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Dr. Slaa hakunyimwa ila inaonekana alivaa kwa ndani, naomba mnisaidie, hii picha hawa jamaa walikuwa wanakimbia au wanatembea?
   
 13. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hizo ndio siasa za baongo!
   
 14. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Slaa kachoka sura ka mlevi wa gongo.
   
 15. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Aka! inteligensia, isije nguoni kupakwa dawa za mionzi, usalama wa viongozi siku hizi utata mtupu, bora lawama kuliko fedheha
   
 16. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #16
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Hapana hawajamnyima. Alitaka kuiwakilisha vizuri Tanzania ndio maana akavaa jezi yenye bendera ya Tanzania
   
 17. N

  Nyabhurebheka Member

  #17
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mzalendo huyo anunuliwi na fedha za wafadhili ili kuwatangazia biashara zao
   
 18. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Kiswahili zaidi ya unavyokitumia hahahaha
   
Loading...