Hapa Sitii Neno

Huyu Frank Goyayi anafikiri Urais wake wa Lions Club ndiyo tiketi ya kumgusa mama Rizi1 kirahisi hivyo? Tutamuundia Tume.
 
Watalaamu wa tafsiri ya picha wanaweza kutuambia nini kilikuwa kinaendelea hapo, maana tukisubiri wahusika waseme itakuwa ngumu kwao.

Tunasubiri msaada wenu jamani, pindi tu muonapo picha hii
 
Wanaanzaga kidogokidogo "ehee umependeza,kesho...."
 
Mama ameskia raha mpaka miguu imelegea.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hii michezo mingine ni zaidi ya hatari asee, bora ingekuwa wa mwingine, wa m.k.w.e.r.e?
 
my observation,i didn't think when i ink !

  1. huyo mwana wakike amefurahia kushikwa nyonyo na karidhika tu!
  2. huyo mwana wakiume hana tabia nzuri sana
  3. zero distance at work
  4. yanaweza kutokea yale ya babu seya wa sinza
 
Mama Mwanaasha huyu fundi wa vifungo mtaalamu shemejiiii
 
wanawake wakishikwa hiki kiungo kwa stairi inayotakiwa basi huwa wanapenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…