Mama ameskia raha mpaka miguu imelegea.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
na ukichukulia hapati pati soseji mara kwa mara maana mara nyingi inakuwa kwanye ndege ughaibuni kwanini asilegee.Mama ameskia raha mpaka miguu imelegea.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Bwana Safari nimeelewa uzito wa TITTLE baada ya kuona picha yenyewe....Mimi NAFUTA HATA MAWAZO KICHWANI MWANGU; NASEMA PICHA SASA SIJAIONA!!!!
Hii picha si ya ukweli, na kama niyaukweli je walikubali kupigwa, hapa mwandishi kaingilia uhuru wao, kama niyaukweli ilipigwa kwa siri, alie piga na akamatwe. ( natania bwana, its nice picture) nasikia mama kaibandika bed room kwakwe ( usiniulize nani kanambia.
bado sitii neno....naogopa sana!
Labda alikuwepo mahali husika!Hahaha...mkuu hiyo miguu umeionaje weye?