Pinda atembelea eneo la tukio
Waziri Mkuu Mizengo Pinda alifika eneo hilo saa 3:41 asubuhi, kujionea hali ilivyo, lakini hakutoa tamko lolote. Sina la kusema, alisema Waziri Mkuu alipoulizwa na waandishi wa habari kutoa kauli ya serikali kuhusiana na tukio hilo.
Hata hivyo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi aliyefuatana na Pinda, alisikika akimwagiza Kamanda Kova kuhakikisha mchora ramani wa jengo hilo naye anatiwa nguvuni kwa kuwa jengo hilo lilikuwa la ghorofa 10, lakini likajengwa hadi 16. Mtu mwingine ambaye anatafutwa na jeshi la polisi kukamatwa ni Mhandisi Mshauri.
Lukuvi alimwagiza Kova kuwa watu waliokuwa karibu na jengo jingine la ghorofa 15 lililojengwa na mkandarasi huyo, kuhama mara moja na ubomoaji ufanyike bila kuleta madhara.
Hoja yangu inasimama hapo kwenye RED jengo hilo ameamua libomolewe ni kwa sababu limejengwa na huyo mkandarasi au kuna sababu zingine za kitaalamu zilizoainishwa? nina mashaka na tamko hili kama limezingatia utendaji unaofuata sheria na taratibu.
Taarifa hii ipo kwenye Gazeti la Mwananchi la leo.
Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano

Wewe jamaa Hamnazo kabisa. Hao viongozi wanao tuibia kutwa kucha ndo wasimamiaji wa maslahi ya taifa? Halafu naona akili zako haziko sawa. Kwani mtu kuwa DJ ni kesi? achaga dharau ndugu.Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano
Sasa hapo usichomwelewa Mh. Lukuvi ni nn, NA, ni leo tu au pia siku zengine huwa humwelewi
Du! kila mtu anatoa matamko yake ili mradi anaongea mbele ya kamera na kalamu za waandishi wa habari.
Lukosi, umesahau kuwa leo ni sikukuu ya wajinga? Ukiota moto wa mjinga lazima utautafutia kuni!!!!!Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano
hajawahi kueleweka huyo
hajawahi kueleweka huyo
Jilani!Jengo hilo la jilani limepata ufa baadhi ya sehemu kutokana na lile lililodondoka mwanzo.
Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano
Wewe Chris Lukosi kwa ujinga huu unaofanya humu jf kukashifu viongozi wa upinzani hata pale panapokuwa hakuna umuhimu wa kufanya hivyo nakushauri utumie fake id kwani wengi huku iringa tuna hasira na wewe.Maswali ya kijingaNa ukiisha pata jibu itakusaidia nini?Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano
Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa
maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj
wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu
kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano